Usajiri wa wanafunzi/Student registration.
Shule ina programu ya mafunzo ya kiingereza kila baada ya watoto wa primary kufanya mitihani yao ya taifa ya darasa la saba:(Pre-form one/english course)kwa muda wa miezi mitatu. Baada ya zoezi hilo tunaanza rasmi masomo mwezi wa kwanza.
Gharama ya fomu inalipwa kupitia Benki akaunti namba: CRDB 0150227648600, NMB 51410004076 Jina la akaunti ni Magaba Secondary school. Hivyo unaporipoti shuleni utaenda na Pay Slip ya benki.
Gharama ya fomu inalipwa kupitia Benki akaunti namba: CRDB 0150227648600, NMB 51410004076 Jina la akaunti ni Magaba Secondary school. Hivyo unaporipoti shuleni utaenda na Pay Slip ya benki.
- Gharama ya fomu ni sh. 10,000/=
Nafasi za Masomo 2017 na Pre Form One Magaba Sec School
Magaba Secondary School ni kisima cha mafanikio. Karibuni nyote bila kubagua kabila, Rangi wala Jinsia.
No comments:
Post a Comment