Mkurugenzi wa Shule ya Sekondari Magaba akiwa na wageni kutoka Uingeleza baada ya kuitembelea shule ya Sekondari Magaba. |
Wanafunzi wa Kidato cha nne wakiwa kwenye mahafali ya kidato cha nne 2016. |
Mgeni rasmi Mh. Yohana Mshita akiwa kwenye ufunguzi wa sherehe ya mahafali ya kidato cha nne 2016 |
Mkurugenzi akifungua sherehe kwa kucheza akiwa na Mke wake. |
Wanafunzi wa kidato cha nne wakiwa wanaingia Ukumbini |
Wanafunzi wakionyesha michezo mbalimbali. |
No comments:
Post a Comment