Shule ipo kilometa 20 kutoka kasulu mjini-Mwanza Road.
- Shule ni ya mchanganyiko wa wasichana na wavulana.
MAGABA SEC SCHOOL. - Shule ni ya Bweni tu, hakuna wanafunzi wa kutwa.
- Shule imesajiliwa kwa no. S.4524
- Shule ilianza mwaka 2011.
- Fostering innovation/Kukuza ubunifu.
MALENGI YA SHULE/SCHOOL MISION.
- Promote Individual Talent/Kukuza vipaji.
DIRA YA SHULE/SCHOOL MOTTO.
- Education for self worth and Awareness/ Elimu ya kujithamini na Uelewa
No comments:
Post a Comment